Kuhamia Finland - Kama mkimbizi wa kuhamishwa kwenye makao mapya
Utapata taarifa ya msingi kuhusu jamii na maisha ya kila siku kwenye tovuti hii, kadhalika msamiati wa msingi wa lugha ya Kifini. Tovuti hii imeundwa mahsusi kwa wahamiaji halali wanaokuja nchini Ufini.