Lengo la tovuti hii
Tovuti hii imelenga kuboresha upatikanaji wa taarifa kwa wakimbizi waliopangiwa kuja Ufini. Ingawa juhudi zote zinafanywa kuhakikisha taarifa ni sahihi na za kisasa, IOM na Huduma ya Uhamiaji ya Ufini hawawajibiki kwa madhara yoyote ya moja kwa moja au yasiyo ya moja kwa moja yatokanayo na makosa yoyote yaliyopo kwenye maudhui. Zaidi ya hayo, IOM na Huduma ya Uhamiaji ya Ufini hawawajibikii vifaa vinavyotolewa na mashirika ya nje hata kama wameweka viungo vyao vimetolewa kwenye tovuti hiii, wala hawawajibiki kwa madhara yatokanayo na matatizo ya mtandao wa habari au hitilafu za kiufundi.
Taarifa za umiliki wa picha zinaweza kupatikana kwa kuweka mshale juu ya picha; ikiwa taarifa hiyo haipo unapoweka mshale juu, picha hiyo imetolewa na tovuti ya movingtofinland.fi. Picha zinahusishwa na masharti tofauti ya hakimiliki; tafadhali wasiliana na waandishi kwa maelezo zaidi. Matumizi ya maandishi yanaruhusiwa, mradi chanzo, yaani movingtofinland.fi, kimeelezwa.
Tovuti hii inatumia huduma ya Google Analytics kufuatilia kwa siri matumizi ya tovuti.
Tovuti hii imetengenezwa na Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM), kwa ufadhili kutoka Huduma ya Uhamiaji ya Ufini na Mfuko wa Hifadhi, Uhamiaji na Ujumuishaji (Asylum, Migration and Integration Fund)